Current version: 97, last update: 2 weeks ago
First release : 01 Feb 2024
App size: 72.08 Mb
App pekee inayokupa fursa ya kupata kazi yoyote unayoitaka au mfanyakazi yeyote unayemtaka. Pia itakupa fursa ya kupata BIMA ya afya kwa mfanyakazi na BIMA ya upotezi kwa mwajiri.